Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana wacha nimuulize shimba ya kama ng'ombe zimefika
Kusema kweli itabidi niseme tu. Nina mashemeji matapeli. Moudgulf naye juzi juzi hapa alizusha eti kanipa ng'ombe. Nilipomkaba hakuwa na jibu la maana. Leo Mzee wa Tukuyu naye anaibuka eti kanipa ng'ombe wengine 15. Kanipea wapi hao ng'ombe wakati nina karibu mwaka hata kuonana naye hakuna? Hii kazi kweli kweli aisee!
 
Ohhh that is so sweet!
Mimi hata sijui kinacho endelea kwa upande wake!
Usijali my love!
Huwa siweki kitu rohoni! Bali ni wewe tu!
Itabidi twende Zanzibar nikakupumzishe kidogo!
Si unajua, kina dada kama sisi huwa tuko together!
Mipesa kwa wingi!
Yakurithi na mengine neyo!
Yaani itabidi nikakutulize my soulmate wangu jamani!
Nimeielewa sana hii
ISIS MOTHER OF MAGIC
 
Hasira haina nafasi kwa sasa,muhimu nimesha mpa kakaako ng'ombe 15 nilio kuwa nadaiwa.Kuanzia sasa ni full kujiachia,yaani nikufyatua kwa kwenda mbereee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha mbwembwe shemeji. Hao ng'ombe 15 wa nyongeza utawatoa tu. Ni ng'ombe wa masamva na bila kuwatoa hutakuwa na amani!
 
Ohhh that is so sweet!
Mimi hata sijui kinacho endelea kwa upande wake!
Usijali my love!
Huwa siweki kitu rohoni! Bali ni wewe tu!
Itabidi twende Zanzibar nikakupumzishe kidogo!
Si unajua, kina dada kama sisi huwa tuko together!
Mipesa kwa wingi!
Yakurithi na mengine neyo!
Yaani itabidi nikakutulize my soulmate wangu jamani!
Mzee wa Masaki hapa sasa mpaka gego la mwisho kama vile nakuona. Umehit the jackpot Ng'wanawane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom