Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kusema kweli itabidi niseme tu. Nina mashemeji matapeli. Moudgulf naye juzi juzi hapa alizusha eti kanipa ng'ombe. Nilipomkaba hakuwa na jibu la maana. Leo Mzee wa Tukuyu naye anaibuka eti kanipa ng'ombe wengine 15. Kanipea wapi hao ng'ombe wakati nina karibu mwaka hata kuonana naye hakuna? Hii kazi kweli kweli aisee!
Hahahahaha
 
Screenshot_2017-07-30-18-21-45.png
 
Back
Top Bottom