Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeshampotezea anajua alinikera sana kumuuzi my love
Si unajua mapenzi yaani nikahisi nachomwa kisu cha moyo
Ohhh that is so sweet!
Mimi hata sijui kinacho endelea kwa upande wake!
Usijali my love!
Huwa siweki kitu rohoni! Bali ni wewe tu!
Itabidi twende Zanzibar nikakupumzishe kidogo!
Si unajua, kina dada kama sisi huwa tuko together!
Mipesa kwa wingi!
Yakurithi na mengine neyo!
Yaani itabidi nikakutulize my soulmate wangu jamani!
 
Back
Top Bottom