mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahaha unaenjoy na emoji
Hahaha unaenjoy na emoji
My love niliumia sana nimeachana naye lakini msg sentMzee wa liver
Hahahaha
Sun day ndio inamalizikaWakuu
the great
Yani umeongea maneno ya kiume Leo mwananguuMwanaume mwenzangu
Usitie mimba ukakimbia
Majukumu Yako
Umenipata!Nimeielewa sana hii
ISIS MOTHER OF MAGIC
Asante my love kwa kunijaliOhhh that is so sweet!
Mimi hata sijui kinacho endelea kwa upande wake!
Usijali my love!
Huwa siweki kitu rohoni! Bali ni wewe tu!
Itabidi twende Zanzibar nikakupumzishe kidogo!
Si unajua, kina dada kama sisi huwa tuko together!
Mipesa kwa wingi!
Yakurithi na mengine neyo!
Yaani itabidi nikakutulize my soulmate wangu jamani!
Indeed mpenzi wangu!Sun day ndio inamalizika
[emoji115] [emoji817] boby Marley RIP
Of course my baby!Asante my love kwa kunijali
Wataalamu wanasema wanandoa wakifanya hilo tendo Mara kwa Mara ndoa inadumu zaidiNdoa siyo lazima ngono Mzee wa Masaki!
Sun day my QueenGood job Leo kwenye huu uzi my dear!
Thanks my dearestMy love niliumia sana nimeachana naye lakini msg sent