Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akibisha nishtue
Habari ya asubuhi...natumai u mzima wa afya na nguvu tele...
Mungu akuongoze leo na akupe baraka zake,ufanikiwe kwa kila ulichopanga na upate hela ya kwenda kulipa zile ng'ombe 15 ili niache kukusema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]la sivyo utarudi siasani...
#ndoayamkopohaitakuachasalama#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha carba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…