Princess of Wales
Nzuri MkuuZa asubuhi
Salama kabisa mkuusalama mzee wa liver..
Thanks my dearGood morning my love!
Popote alipo ujumbe umefikaKK rudi haraka
hatutaki kumpoteze mmoja wa familia hii
Kesi hiyo mkuu!!!*Kuna katoto ka jirani kila nikikatuma dukani lazima kionje. Nilichomtuma juzi nikamwagizia aniletee sukari kakalamba robo nzima.Leo nimekatuma super glue naona kapo tu getini kameshindwa hata kuongea sijui kamepoteza hela* [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Naweka rekodi sawa umelipa utalipaWee mzee wa Masaki naona unataka tuharibiane etii?? Shimba ni mtata...