Uleho?Ndiyo natoka chimbo bro. Kwema?
IndeedNawaza tu ukiwa peke yako ainogi kuwa hapa with people around you na notification zao, zinakupa strength
Karibu Rosweetest. Jumatatu yako inaendeleaje?Nimewamiss humu ndani
YupWe all have done bad things at some point
Nimeshakaribia, nipe ma-Like tuKaribu
OkNimeshakaribia, nipe ma-Like tu
YupNo strings ATTACHed duuh
Naliho bageshi. Wabeja nkoyi!Uleho?
AsanteHata uwe mzuri wa kupindukia,tabia yako ikiwa mbaya watakuchukia....
Hata mwendo uridhishe mithili ya Twiga..
Bila maelewano mapenzi hakuna kabisa..
Hata jipambe kwa vito ung'ae kama nyota...
Pasipo tabia njema popote watakufuza......
Kuishi na watu vyema hutoharibikiwa..
Milele na milele watakukumbuka....
Maisha ni tabia njema chochote utapata.......×2
Heshima kijana tanguliza kwanza mbele....
Jeuri mbaya oooh..×2
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabheja kolumbaNaliho bageshi. Wabeja nkoyi!