Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Babe nakusalimia...sasa sijui salamu huzioni au ni aje??[emoji22][emoji22][emoji22]
 
bado siajamuelewa yule aliyekataa mshahara wa million 400 nchi za nje na akaamua kuja tanzania
Uzalendo! Uzalendo! Malengo ya maisha! ...na hasa passion kitu ambacho wengi wetu hatuna. Tunadhani kila mtu lengo lake ni kujirundikia mali hata kama kazi anayofanya inamuua. Wapo watu wachache wanaojua wakitakacho katika maisha yao na wapo tayari kukitafuta na kukipata kwa gharama yo yote ile. Na hawa ndiyo huishi na kuleta impact hapa duniani!
 
swadakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…