Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipo sana,mzee wa INI anatakiwa akumbushwe maisha ya uswazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mambo vipi ISIS...(kwa hisani ya mzee wa liver)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa unaroho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka cole alijitolea kupata ban kisa kuna pimbi alikuja kumuita ISIS gaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbuka sana,na bado akatoswa,Cole siku ile sijui alipiga cha wapi aisee!!!! Hakika carba ni mwanamke mwenye ushawishi sana,sikutarajia kama ipo siku Cole atatulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ISIS mamaangu,uwe unamkumbuka Cole japo dakika moja kwa wiki ukiwa na mzee wa liver, alijitolea uhai wake ili mradi usiguswe na kundi la vijana(Aleyn,..).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…