Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

It wasn't personal kabisa
I was just trying kumtishia tu jamAa. Wote tunajua hapa how positive ISIS is so nilikua naweka mambo Sawa.
Nikama utakavyo panda dalala lets say ukute kondakta anajaribu kumkashifu mwanamke.
Cole World
 
Walioamuwa kupambana kwa ajili ya haki wajijuwe kuwa wamechaguwa vita vigumu mno, ambavyo havina ushindi wa haraka, bali ukija huwa wa kudumu. Sasa wanapaswa kuchaguwa moja kati ya mawili: ama wavumilie madhila yaliyomo kwenye vita hivyo hata wanapojeruhiwa na kuchirizika damu na usaha, au waachane kabisa na mapambano na wapoteze kila kitu. Waliotaka urahisi, wamechaguwa kupambana kwa ajili ya batili, ambayo hushinda haraka na ushindi wake ukadumu kwa kitambo.
 
Tatizo ya walio soma wengi wameanza maisha ya kumiliki mali tangu wakiwa chuo.Ukifanikiwa kukifunua kichwa cha mwanachuo,utaona anafanya kazi city center, ana mshahara mkubwa,ana gari nzuri,nyumba nzuri,maisha mazuri,bila kuajiriwa anasema shule haijamsaidia.Kujiamini zero,kuthubutu zero...[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…