Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata ukajibereuza vipi, wewe ni dikteta uchwara tu. Nitakupinga fesibukuni, nitakupinga twitani, nitakupinga instagramuni, nitakupinga yuutyubuni, mote...mote ntakupinga tu. Barabarani tu siingii ukaja ukanisukumia karandinga jambazi weye..
Siasa zimekutia majeraha mkuu? Kwotesheni kama hii kule Jukwaa husika ingeamsha mjadala mrefu kati ya zile timu mbili mashuhuri (mafisi vs manyumbu). Huku mhhh unless kama inakusaidia kupunguza hasira ulizonazo dhidi ya dikteta uchwara wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It wasn't personal kabisa
I was just trying kumtishia tu jamAa. Wote tunajua hapa how positive ISIS is so nilikua naweka mambo Sawa.
Nikama utakavyo panda dalala lets say ukute kondakta anajaribu kumkashifu mwanamke.
Cole World
Ila kipindi kile uliteseka sana bro. Mpaka nilikuwa nakuombea kabisa. Muenzi sana Carba na kumuenga enga kama yai lenye thamani ya pekee. Usisahau kamwe!
 
Siasa zimekutia majeraha mkuu? Kwotesheni kama hii kule Jukwaa husika ingeamsha mjadala mrefu kati ya zile timu mbili mashuhuri (mafisi vs manyumbu). Huku mhhh unless kama inakusaidia kupunguza hasira ulizonazo dhidi ya dikteta uchwara wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahhhaaaaa hapana mimi siasa ni kusoma habari tu
 
Walioamuwa kupambana kwa ajili ya haki wajijuwe kuwa wamechaguwa vita vigumu mno, ambavyo havina ushindi wa haraka, bali ukija huwa wa kudumu. Sasa wanapaswa kuchaguwa moja kati ya mawili: ama wavumilie madhila yaliyomo kwenye vita hivyo hata wanapojeruhiwa na kuchirizika damu na usaha, au waachane kabisa na mapambano na wapoteze kila kitu. Waliotaka urahisi, wamechaguwa kupambana kwa ajili ya batili, ambayo hushinda haraka na ushindi wake ukadumu kwa kitambo.
Vita bila malengo yaliyo wazi ni kazi bure!
 
Back
Top Bottom