halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,267
Nimetekwa na mtoto wa kinyerambaMkuu kimya kingi....au ndo pilikapilika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangu juzi unafanya nini? Kiwango chako cha likes hakiridhishi!
Kumbe ndo mna nyiramba girl sijamuona humu tangu janaNimetekwa na mtoto wa kinyeramba
Naingia humu kwa kunyapia nyapia
Aisee..!!Yaani whatsapp Facebook insta hawanioni kwa ajili ya like like
Ya kujaza na kujazwa like[emoji125] [emoji125]Tayari tupo kazini!!
Kwa sababu ya like likeCharge imeanza kukata
We ntakutafuta... Tukutane mbauda hapoKwa mromboo
Kwa kweliMwendo wa malike toa nitoe
HahahahaWe ntakutafuta... Tukutane mbauda hapo
Kwa kweliHATUPIMI LIKES.........
Na iwe hivyoNatabiri...baada ya wiki 2...uzi wa makapuku tutaukanyaga....tutaka
Muhimu tukaze buti.....tufike 250kNatabiri...baada ya wiki 2...uzi wa makapuku tutaukanyaga....tutaka
Wiki nini... Tunahitaji masaa machacheNatabiri...baada ya wiki 2...uzi wa makapuku tutaukanyaga....tutaka
Na wewe usiwape likeHumu ndani kuna mijamaa haitoi like...
HahahahaHizi like charge nazo zilike
YopWiki nini... Tunahitaji masaa machache