Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Akili ni nywele. Kila mtu ana zake!
Pole shemeji. Unataka niitishe kikao cha ukoo tuone kama tunaweza kukusamehe?Let's not hit below the belt ...
Mkuu hayo mahari yatasababisha nikaji KICHWA KICHAFU humu,nimeandamwa hadi naiona ndoa sio furaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si vibaya kupigania unachokiamini ali mradi tu uwe na malengo yaliyo wazi.hahahahhhaaaaa hapana mimi siasa ni kusoma habari tu
Mahaba baba mahaba[emoji23][emoji23]acha kabisa sasa hivi hata hakumbuki,huba la carba limemkolea hatari[emoji23][emoji23][emoji23]....long live jf kwakweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbuka sana,na bado akatoswa,Cole siku ile sijui alipiga cha wapi aisee!!!! Hakika carba ni mwanamke mwenye ushawishi sana,sikutarajia kama ipo siku Cole atatulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ISIS mamaangu,uwe unamkumbuka Cole japo dakika moja kwa wiki ukiwa na mzee wa liver, alijitolea uhai wake ili mradi usiguswe na kundi la vijana(Aleyn,..).