Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila kipindi kile uliteseka sana bro. Mpaka nilikuwa nakuombea kabisa. Muenzi sana Carba na kumuenga enga kama yai lenye thamani ya pekee. Usisahau kamwe!
Daaah mjomba nimeambiwa yupo mtaa wa pili tu hapo ngoja nikajaribu bahat yangu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Yule aliye juu akapaa juu, juu zaidi, kisha kutoka angani sautiye ikanena: 'Nyiye wana wa mataifa, mumeonewa siku nyingi, mumeteseka miaka enda miaka rudi, hadi Bwana akanileta mimi kwenu. Sasa nipeni uhuru wenu, niwalipeni ukombozi!' Wengi kwenye watu wa mataifa wakawa wanaulizana: 'Hivi mteule huyu wa Bwana anataka tumpe nini atupe nini? Ukombozi ni upi pasipo uhuru?' Wengine wakanena: 'Huyu hatoki kwa Bwana. Bali atoka kwake shetani. Maana Bwana wa Ukombozi ndiye Yeye Bwana wa Uhuru!' Alipowasikia wakiambizana hayo, akaamuru hasira ya gereza iwe juu yao na minyororo iwe kifungo chao, na tena akawaonya: 'Hamuwezi kuwa na yote mawili. Yeye ayatakaye yote, huyo atakosa yote!" Madaraka
 
[emoji4][emoji4]yan hapa bichwa limeelemea upande mmoja nakaribia kidondoka kwakweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mzee wa liver alikua anamipango yake binafsi[emoji23][emoji23]dooh!mzee mbaya yule
 
Na akatokea mwamba mmoja tokea Turu,akaukwaa ukuu wa uwakili na ukamuongezea ujasiri na akasema:nitakupinga kama nilivyokuwa nakupinga ,nitaendelea kukupinga ,na wakatokea wateule wa mkuu wakasema akamatwe akamatwe ametowa maneno ya kuudhi ,madaraka 54:8-9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…