Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha ushabiki huo.Si afadhali hata mimi nimetoa zaidi ya nusu ya mahari,wapo wengine huko sijui insta wanauza sura hata hela ya kujitambulisha (sh.10,000) hawajatoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena mwambie kbs kesho unaenda kumalizia na.nyongeza ya kuku 20. Hapana chezeiya weye kabisa. Halafu mwambie akae mbali na ww, nafasi zimeshajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…