The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Maana kuna vimaneno vyake humu huwa sivielewi kbs.Hana uwezo huo,moyo wangu nilishakukabidhi unazunguka nao tu
Sio maneno yangu,ni kwa ajili ya cole...Nipo ujue,nakuangalia tu.
Hapa likes tu, hatuna masihara sisi.chezea simu usichezee likes za uzi huu. Haya pata likes yako mkuu
Huyo ndio King wako,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Andjul
Yeuwii
Nalia walahi!
hahahaha
Sio kweli nsamaka hizo taarifa ulizo nazo ni CONSPIRACY tuIla carba anatishia uhai wa ndoa yangu.
AminaNawasalim katika Bwana
HahahahaHuyo ndio King wako,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mamaanguKwakweli nawamis sana