Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani ukiona hiyo#naona kamoyo kanakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]Acha ushabiki huo.Si afadhali hata mimi nimetoa zaidi ya nusu ya mahari,wapo wengine huko sijui insta wanauza sura hata hela ya kujitambulisha (sh.10,000) hawajatoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nsamaka weeeTena mwambie kbs kesho unaenda kumalizia na.nyongeza ya kuku 20. Hapana chezeiya weye kabisa. Halafu mwambie akae mbali na ww, nafasi zimeshajaa
Abeee, bora umekuja umepata na ujumbe wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nsamaka weee
We niangalie tu[emoji1][emoji1][emoji1]Nakuangalia tu ujue!!!
Hahaha asante ila kumbuka kukaa mbali na andjul.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nsamaka nakisalimia...pole na majukumu