Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E090
[emoji23][emoji23]sijui leo yuko wapi aiseeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hafai,shimba alimuamini kweli mzee wa ini, hadi akampa kitengo cha data...kumbe mzee wa ini ana lengo moja tu, fuatilia nyendo za Malikia...
[emoji23][emoji23][emoji23]nipo mama nasaidia kumchangamsha huyu muhenga wakoCarba upo? Manake ww ndio unaenisumbua sana humu. Nisipokuwepo tu unachukua nafasi yangu.
Naendaga kuchukua ujuzi[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto umesha fuzu mahaba ya kipwani,hivi kwa bibiako unaendaga kweli??
Love nikuletee nini. Hapo job?Naendaga kuchukua ujuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks lov nimeshatoka narud home sasaLove nikuletee nini. Hapo job?
Ujumbe nimeuona usijaliAbeee, bora umekuja umepata na ujumbe wako.
Me nimekaa naye mbali mbona[emoji1][emoji1]Hahaha asante ila kumbuka kukaa mbali na andjul.
Nikiwepo unajidai mpole, niachie muhenga wangu.Me nimekaa naye mbali mbona[emoji1][emoji1]