Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Napenda nipate lau nafasi....
Nipate kusema nawe kidogo ah mamaa moyoni naumia....


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bhana ni nguli shupavu aliyetikisa Dasalaam miaka ya 1960 na 70. anaitwa Ahmed Kipande akiwa mubashara na bendi yake ya Kilwa jazz. Dar iliwaka moto enzi zake pale Tanzania legion, Anatoglou hall na Kibarua bar Ilala. Baba zetu na kaka zetu wanamtaja sana mwanamuziki huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom