OK recordedNilisha lipa ila wote hatukumbuki kama tulisha lipana.nsamaka amesisitiza kuwa nilisha lipa sidaiwi...
Na itaendelea kuvunja record nyingiKasi ya huu uzi imevunja rekodi ya JF!
NimemuonaUmemuona nsamaka[emoji102] ???
Bara letu pendwaNaipenda Africa
Na wewe umeanza kuweka code?E187
HahahahahaUlilipa 20 bado 15. Acha ujanja shemeji. Rekodi na makubaliano yote ninayo hapa. Sahihi yako na mashahidi watano. Kama unataka kutudhulumu sema tu ila madhara yake ni makubwa sana!
Sema Cherie. UE ilikwendaje?
Faiza au