cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Kweli tumejitolea kufanikisha hiliAmna nawaza tu bro Bila ya kuwa na consistence ya baadhi ya WADAU humu sizani kama uzi huu ungeendelea
Hahahahaha karibuni woteTuende wapi sasa na Masaki Mzee wa liver anapiga Pini
AMUN RAAMUN RA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani huwezi amini. Sasa hata nikitaka kumsalimia malkia inabidi niombe ruhusa kwa Mzee wa Ini. Itabidi nimuombe malkia aniombee special clearance kwa mzee. Ni shida kwa kweli!
Amekuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haujaenda kumtafuta mjomba?Cole
World
Watoto wa kiume tumezaliwa kuhangaika Mzee. Zikiitika ndo sasa deile full kupunga upepo pwani na bebez kama unavyofanya!Hilo chimbo mkuu sio mchezo
TrueNdiyo maana inabidi tuwe na tabia ya kujaribu kuwatafuta wadau wanapotoweka. Na wageni wakija tuwakaribishe kwa wema na kuwa-appreciate. The sky is the limit bro na uzi huu utazidi kusonga tukifanya hivyo!