myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Au ndio jumatatu
Kweli kabisaNawaza tu ukiwa peke yako ainogi kuwa hapa with people around you na notification zao, zinakupa strength
FranceParis
Kabisa majukumuHekaheka za watu kutoka makazini zimeanza watu wamepungua ama?
Hiyo niliangalia kitambo nimekumbka drama zaoMbona umefurahi sana?
Tabia njema ni silaha
Unapotea sana weweUleho?
Amekuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona umefurahi sana?
Yaani huwezi amini. Sasa hata nikitaka kumsalimia malkia inabidi niombe ruhusa kwa Mzee wa Ini. Itabidi nimuombe malkia aniombee special clearance kwa mzee. Ni shida kwa kweli![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hafai,shimba alimuamini kweli mzee wa ini, hadi akampa kitengo cha data...kumbe mzee wa ini ana lengo moja tu, fuatilia nyendo za Malikia...
Acha utani wewe