Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?*

*Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"*
*mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo wewe.* [emoji28][emoji28][emoji28]
*_Watu wanamajibu ya kunyaaa_*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…