Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa. Mchezo wa hatari pengine kuliko yote hapa duniani! Aliingia na mikwara kibao akitishia kumfukuza ye yote ambaye angebainika kuwa anavujisha siri za ikulu. Akawatukana Chief Strategist Bannon na Chief of Staff matusi mazito ya nguoni. Leo naye amejikuta kafutwa kazi.

Uzuri tu hawa wenzetu karibu wote hawa ni mabilionea na hawana njaa kama hawa wanasiasa wetu uchwara. Zitto hakukosea aliposema kwamba kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…