Am back nyundo za like zinaendelea.Kichwa kichafu,,Ukhuty,,na Nyiramba bado wanakoroma...wapo kwenye usingizi mzito wakifurahia likes[emoji38] [emoji38] [emoji38]
HahahahaKichwakichafu kakesha na malikes
humu utamu tuNafuata mbele ya utamu wa asali ningoje nn [emoji39]
[emoji111] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahaha.
Naona kuna maoni mengi kuhusu huu uzi.
Naomba tujipange hivi karibu kutakuwa na uchaguzi humu wa uongozi wetu.
Tuendelee kuleta mapendekezo huku tukiendelea kuzungumza na CEO Jembekillo.
Tusije kumfuturu yeye tuKibiti tena! Yeuwii!
Yap yapJembekillo, Kichwa Kichafu, mambo, Mamaa Numbisa, espy,
hufanywa na wanajamii wenyew....full kulike tuMambo ya kijamii
HahahahahaKichwa kichafu....bado akoroma
kwema vipi wewKwema humu ndani jamani
Ni zaid ya utam wa ile kitu...humu utamu tu
Akiweka mguu wewe weka jiweNa wewe usiwape like