moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jokes...........!
BAADA YA TALAKA: Mke katuma sms kwa mume wake kuwa pole sana binti uliyemlea miaka 20 sio mwanao nilikubambikizia tu! Mume akajibu kwa furaha, asante Mungu kwani kila siku nilikuwa naumia moyoni kuwa natembea na mwanangu. Sasa nitaoa kabisa....!
Hapo nani imekula kwake zaidi?