Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahahaha my Queen ni shidaUNIVERSAL
LIKES
Ndio maana nakupenda sanaUNIVERSAL
LIKES
Sijaingia humu muda mrefu, halafu unaniletea Insha!!!Tambi ni chakula kinachopendwa na wengi...leo tunaanza kwa kujifunza jinsi ya kutengeneza tambi za aina mbalimbali ili kuleta mvuto kwa walaji wa chakula chako. 1.Tambi za soseji Mahitaji: -Soseji -Tambi -mafuta ya kupikia -sukari -maji Jinsi ya kuandaa: *katakata soseji katika vipande vidogo kiasi,soseji moja ikate katika vipande vinne *katika kila kipande cha soseji,chomeka tambi chache *weka katika sufuria na chemsha kwenye maji yenye sukari na mafuta *zikishaiva,pakua na andaa mezani *unaweza kushushia na juisi yoyote ya chaguo lako
Ni rahaHahahahaha my Queen ni shida
I like when you say that!Nampenda sana tena sana
Malkia wangu
Good evening!Good evening my Queen