Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Cole wangu[emoji22][emoji22][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa liver
Asee kwema sana kiongozi SHIMBA! Niliadimika kidogo kipande hii. Mnisamehe bure tafadhaliKama kawa Chakii. Kwema lakini?
Yeah. Mambo ya mizimu, mapepo na uganguzi. Tena huwa wanatafuta za miaka fulani fulani hivi...OK nimekumbuka kuna watu wanapita huku mtaani wanatafuta hela kwa mambo fulani
HahahahahaHongera. Kaa mbali na mapochopocho ya Masaki sasa usije ukafumuka kitambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nipo salama. Naona leo majukumu yalikuwa yamekaba. Pole sana na hongera. Pole kwa uchovu na hongera kwa kuwajibika!Asante shem...habari ya wewe?
Kama kawaida
My princess waoNimewamiss kweli