moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Don't be negative. Your queen hates negativity. You attract what you think and perceive...Ohooo!Nothing real great happen to me
Mzee namba hazitakuacha salama
Ndo wamesema hivyo simbaKweli kabisa au
IndeedUgunduzi wa moto inaaminika na wengi kuwa pengine ndiyo ugunduzi muhimu zaidi kuliko mwingine wo wote ule uliowahi kufanywa na binadamu. Nyama iliyopikwa/iliyochomwa ilimpatia binadamu protini kwa wingi na ubongo wake ukaanza kukua kwa kasi - kasi ambayo hatimaye imeweza kumfikisha katika kilele cha food chain!
Teh teh teh ila akifumania hiyo ni kesi mbichiNaona anatoa kibali kabisa!
Hahaha ni shidaMwanaume wa Dar!