Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3Maji ni muunganiko wa molekuli mbili yaani oxygen na hydrogen ambapo oxygen huitajika na ubongo kwa ajili ya shughuli zake za kila wakati , hivyo basi ili ubongo uweze kufanya kazi vizuri unahitaji oxygen ambayo utokana na maji tunayokunywa Wakati mwingine tunaweza kuhisi dalili ya kwamba ubongo unahitaji oxygen pale tunapohisi maumivu ya kichwa wengi ukimbilia kutafuta dawa za kutuliza maumivu lakini mimi nashauri watu wajiulize kama walikunywa maji ya kutosha , ingawa si maumivu yote ya kichwa sababu huwa ni kukosa maji
 
4 Maji pia usaidia figo katika kuchuja uchafu na sumu mbali mbali ambapo utolewa nje baada yo uchafu huo kuingia kwenye kibofu cha mkojo ambapo ni miongoni mwa shughuli za mwili zinazohusisha seli hai .
Unaweza kujua pia kuwa mwili unahitaji maji pale unapo enda aja ndogo na ukagundua kuwa mkojo umekuwa wemye rangi ya njano naharufu kali
 
Zote zilizotajwa ni faida za msingi za maji katika kuendeleza uhai wetu hivyo kuna
madhara mengi tutakayo kutana nayo pale tutakapo kosa kunywa maji kwa kiwango kinachotakiwa , mfano kujisikia uchovu , kuumwa kichwa na kukosa choo .
lakini changamoto leo ni je maji yako ni safi na salama ? na kama una uhakika je utajuaje ? ,Ndani ya blogu hii utapata elimu ya kutosha kuhusiana na maji .
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mana nilikuwa na mawazo kweli shem si kwa kumuacha pekeake leo humu ndani[emoji23][emoji23]
Hajafanya lolote baya. Kagawa likes, kaimba nyimbo zake, paraboz mbili tatu na mwishowe akathibitisha penzi lake kwako kwa post mbili muhimu moja ikisema anatumaini mtazeeka pamoja, na nyingine akasema anatumaini kufia mikononi mwako. Nawaombea!
 
Back
Top Bottom