Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni mchuano wa aina yake!
Am here baby nimekumiss mpaka sijielewiCole Williams babe upo wapi[emoji22][emoji22]
Am here baby nimekumiss mpaka sijielewiCole Williams babe upo wapi[emoji22][emoji22]
Hajafanya lolote baya. Kagawa likes, kaimba nyimbo zake, paraboz mbili tatu na mwishowe akathibitisha penzi lake kwako kwa post mbili muhimu moja ikisema anatumaini mtazeeka pamoja, na nyingine akasema anatumaini kufia mikononi mwako. Nawaombea![emoji23][emoji23][emoji23]mana nilikuwa na mawazo kweli shem si kwa kumuacha pekeake leo humu ndani[emoji23][emoji23]
The Genius one hujaacha ushilawaduAlikuwepo hapa kwa muda. Naona kayeyuka kimya kimya. Kale ka kishua hakajaja leo. Nilikuwa macho sana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri kabisa ,za leo?Habari ya muda huu wapendwa