Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera. Kwa sisi tuliokulia mashambani kuishi bila shamba haiwezekani. Gunia 10 za mahindi, tano mchele, maharage hapa...unabakiza pesa ya mboga tu. It makes life so easy siyo kila mara unakwenda kwa Mangi kununua unga!
Mkuu nilisahau kabisa hii lakini reply yako second time niliwaza sana yap
That was great day today indeed
 
Baadhi ya watu hujiuliza ni mara ngapi mtu huhitaji kuoga kwa siku, lakini swali hilo linaweza kujibiwa kama ifuatavyo ili ujue mtu anapaswa kuoga mara ngapi kwa siku kwanza itategemea na aina ya kazi anayoifanya mhusika pamoja na hali ya hewa ya eneo alilopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…