Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hajafanya lolote baya. Kagawa likes, kaimba nyimbo zake, paraboz mbili tatu na mwishowe akathibitisha penzi lake kwako kwa post mbili muhimu moja ikisema anatumaini mtazeeka pamoja, na nyingine akasema anatumaini kufia mikononi mwako. Nawaombea!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kawa mtoto mzuri sana
 
0ba6687ada57ff12c82e7bd07566b66c.jpg
 
Siku imekwisha nothing real happened to me
Hoooo great day indeed
I purchase 2 hectares of shamba
Hongera. Kwa sisi tuliokulia mashambani kuishi bila shamba haiwezekani. Gunia 10 za mahindi, tano mchele, maharage hapa...unabakiza pesa ya mboga tu. It makes life so easy siyo kila mara unakwenda kwa Mangi kununua unga!
 
Back
Top Bottom