Nipo mkuumzee wa liver natambua uwepo wako mkuu
Kumbe we wakishua tangu muda eeh[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha my Queen anataka kunibadirisha but that my life
Nimekulia upanga nimesoma kisutu primary secondary Tambaza collage Mzumbe acha tu watu wanafollow clue wacha niishie hapo kwa leo
ISIS roho ya muzee ya iniPhoenix
Nzur mzima ww
Hapo passport haiingii eeh[emoji23][emoji23][emoji23]Usafi wa mwili unajumuisha kuoga na kuvaa nguo safi. Kuoga ni kitendo cha kueneza maji kwenye mwili kwa namna yoyote ile.