Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushilawadu ndo umenifanya nisihame Mbagala. Can't imagine kuishi kwenye geti nimejifungia kama kwenu huko Masaki. Huku Mbagala ushilawadu unakufuata mpaka dirishani umelala zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Katika makelele na zogo zile ndimo mna ubinadamu na siri zake!
Mbagala. Shimba ya buyenze
 
IMG_3113.JPG
 
Back
Top Bottom