Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kidole tumbo au appendix: Hii ni ogani mfano wa pochi ambayo imekaa mwishoni mwa utumbo mkubwa unapoungana na ule mdogo. Ina urefu wa sentimeta 9 hadi 20. Dk William Parker na Randy Bollinger wa Chuo Kikuu cha Duke mwaka 2007 walisema kuwa kidole tumbo kina wajibu wa kutunza bakteria rafiki ili wapambane na maradhi kwenye utumbo mdogo na mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…