Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Loving God is preconditioned to sinning not
Mboga za majani nyingi siku hizi ni sumu tu Mungu atusaidie kwakweliAnashauri, badala ya kula sembe, tule dona, mkate wa atta, mboga za majani na matunda ili mwili wetu upate mlo makapi (fiber) unaosaidia katika kumeng’enya vizuri chakula.
Ningeshangaa!!!Nzuri kabisa, nimewamiss tu! Mpate mzima kabisa......ana.....
Nimesikitika sanaMboga za majani nyingi siku hizi ni sumu tu Mungu atusaidie kwakweli
Nakusalimu mzee wa tukuyuNingeshangaa!!!
Sisi tunaokaa mitaani huku mchicha unalimwa nyuma ya choo acha kabisa ni vile Mungu anatupenda tuNimesikitika sana