Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sisi tunaokaa mitaani huku mchicha unalimwa nyuma ya choo acha kabisa ni vile Mungu anatupenda tu
Nyuma ya choo mbona salama tu hiyo. Kimbembe ni pale mboga zinapomwagiliwa maji yenye makemikali makali. Yaani mbolea zenyewe ukizifanyia uchunguzi wa kisayansi in sense siyo mboga bali ni sumu tupu. Mpaka molecular structure yake inabadilika.
 
Yaani siku hizi tunakula sumu tu hakuna hata chakula salama
 
Back
Top Bottom