Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Depart from evil thoughts and believe in God
Yaani ndio mana sipendi kula vyakula vya migahawani,mana mazingira ya kuandaliwa huyajui kwakweli unakula tuKwenye dunia ambayo inajali faida kupitia kiasi, usalama wa mlaji ni mdogo, hasa walaji ambao wanalazimika kula vyakula ambavyo haijulikani vimeandaliwa kwenye mazingira gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupiga push ups[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23]![]()
Oohooo[emoji23] [emoji23]Kupiga push ups[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]