Nashukuru kukuona tena
Ndio mana magonjwa hayaishiKama hapa dar, mboga nyingi zinalimwa bonde la msimbazi ambalo limesheni kemikali, unadhani hali ikoje miongoni mwetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Abee shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]kijana kachoka mechi ya kimataifa si mchezo et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemejiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee papuchi imemlegeza[emoji23] [emoji23]Kijana wetu hoiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sasa kusema kweli hakuna pa kukimbilia unless ulime mwenyewe na upike mwenyewe. Daktari wangu alinipa ushauri wa maana sana. Usile chakula kile kile kwa muda mrefu. Badilisha badilisha na kula kila kitu in moderation - hata vyakula wanavyosema kuwa ni vizuri as long hujui vimekuzwaje, vimevunwaje, vimehifadhiwaje na kuandaliwaje. Tulikuja kugombana aliposema niache kabisa kula ugali kabisa eti carbohydrates na sukari.Yaani ndio mana sipendi kula vyakula vya migahawani,mana mazingira ya kuandaliwa huyajui kwakweli unakula tu
Mkuu Kazi yako nimeona labda hiyo simu ya jamaa aina notificationHakuna mtu anayeweza kunifikia kwa likes nilizowapa ndani ya 24hrs, nilitokea huko nyuma nikiwa 30 hrs ago, huwezi amini sijamruka yeyote mpaka hivi punde nilipogota hapa mwisho. Angalia likes zako kwa makini utaniona
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Asee papuchi imemlegeza[emoji23] [emoji23]
Halafu wewe mzee mkuda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa liver, Isis hajambo?