Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna sehemu inaitwa Ihumwa hapa Dodoma aisee wanalima mboga hatari na wanasafirisha kuja dar kila Siku lakini mahitaji ya mboga mboga za majani dar ni makubwa sana lazima zile za sumu na nyuma ya choo ziwepo sokoni
Yani acha kabisa ndio mana hatuishi kuunwa magonjwa ya ajabu ajabu[emoji22][emoji22][emoji22]Mungu atuhurumie kwakwel
 
1501614488856-616153477.jpg
 
Hapa salama ndugu yetu, tatizo tulilonalo mpaka sasa ni kupotelewa na ndugu zetu wawili wapenzi , bw ho chi minh, mkaazi wa ikwiriri na Kichwa Kichafu aka KK, mkaazi wa Kibiti. vinginevyo tuliobaki tuko poa ingawa tuna huzuni. KARIBU sana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom