mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yaani mambo mengi ni hesabu
Hii lugha tuwaachie wenyewe tu[emoji23] [emoji23]![]()
Lugha ziko hivyo. Maneno mengi yana maana zaidi ya moja na maana inayochomoza zaidi ndiyo hukubaliwa na jamii. Maana ya kijeshi ndiyo teule na hiyo ya kitigoishaji iache tu ibakie kwenye makabrasha!afande[emoji23]![]()
Lugha imekuja na meli hii tuvumiliane tu kwa sababu hakuna namna kwa kweli![emoji23] [emoji23]![]()
Daah kiukweli baadhi maneno ya kiswahili ni utata!Lugha ziko hivyo. Maneno mengi yana maana zaidi ya moja na maana inayochomoza zaidi ndiyo hukubaliwa na jamii. Maana ya kijeshi ndiyo teule na hiyo ya kitigoishaji iache tu ibakie kwenye makabrasha!