moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wakulima wa nyanya mkoani Iringa wanatumia kemikali kupita kiasi, kuanzia kupanda, kukuza, kuhifadhi na wanapotaka kusafirisha huzisafisha kwa madawa ili zing'ae kabla hazijamfikia mlaji. Usalama uko wapi ndugu zangu?At least sisi tulioko mikoani tuna pata fresh kutoka shambani kwa wakulima
Sent using Jamii Forums mobile app