mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good night Dodoma
Namaanisha CleverKINGMzee yupi? Wa Tukuyu? Mbona yupo humu napishana pishana naye. Amesema anaendesha kutoka Tukuyu kuja Dar. Nilisikia anamwambia Carba kuwa amemiss maembe ya chumvi na mahindi ya pili pili. Tumuombee aendeshe salama na Mungu Amfikishe salama Dar.