Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-01-22-11-21.png
 
Mzee yupi? Wa Tukuyu? Mbona yupo humu napishana pishana naye. Amesema anaendesha kutoka Tukuyu kuja Dar. Nilisikia anamwambia Carba kuwa amemiss maembe ya chumvi na mahindi ya pili pili. Tumuombee aendeshe salama na Mungu Amfikishe salama Dar.
[emoji23][emoji23][emoji23]anaendesha mkokoteni au guta[emoji23][emoji23][emoji23]andjul naomba lifti rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom