mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good night Pwani
Niwatakie kazi njema wale mliomakazini sasa hivi
Niwatakie usiku mwema wenye baraka wale mnaosogelea vitanda sasahivi
Mnapoenda kuomba Mungu usiku huu msiwasahau wagonjwa na kuwaombea wenye shinda mblimbali Mungu apate wafanyia wepesi
Ni kweli mkuu. Usije hata siku moja ukafikiria kupumzika katika uzi huu. Mi nasemaga tu ukweli kama ninavyouona. Tumekuwa familia sasa. Ndiyo maana KK na Mchina bado wanaliliwa warudi.Hahahahaha shimba wewe ni shida mkuu
Mimi nipo hapa kila Siku
Mungu awabariki kwakweli