Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
We dwell with our neighbour for safety's sake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2]Nilimuuliza. Unataka nile nini sasa kama siwezi kula ugali? Eti mboga mboga, matunda na carbohydrates zitoke kwenye brown rice japo nao iwe mara moja au mbili kwa wiki. Tukashindwa kuelewana!
AMUN RAMnapoenda kuomba Mungu usiku huu msiwasahau wagonjwa na kuwaombea wenye shinda mblimbali Mungu apate wafanyia wepesi
AminaMungu awabariki na kuwalinda
Mfalme Mjanja leo hajaonekana hapa. Anaongezea busara bila shaka. Akirudi hapa tutafaidika sana!
Good night my love, may lord God protect you,Cole babe [emoji9][emoji9][emoji9]good night
Mwenyezi mungu awajaalie marafiki zetu wapenzi ho chi minh na kichwa kichafu warudi jamvini.Mungu awabariki wanauzi wote
Kweli mkuu kk na ho chi Minh kukosekana kwao kumepunguza speed kwa kiasiNi kweli mkuu. Usije hata siku moja ukafikiria kupumzika katika uzi huu. Mi nasemaga tu ukweli kama ninavyouona. Tumekuwa familia sasa. Ndiyo maana KK na Mchina bado wanaliliwa warudi.