Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio raha ya jf
Peace of advice mabasi yote yanayotoka Dodoma ukiacha Shabiby ,machame ,ABC,kimbinyiko
Yanapakia mbonga mboga kutoka ihumwa kama una jali afya yako unaweza Fanya mpango wa kupata mboga mboga fresh kabisa zikifika ubungo stendi
Hao wakulima wa Ihumwa hawatumii makemikali? Wanapambanaje na magonjwa na wadudu waharibifu kwenye hizo mboga?
 
Screenshot_2017-08-01-22-14-06.png
 
Back
Top Bottom