moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mdundiko baba acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]unatafutwa nyumbani mtu ushafika mtaa wa nne unasindikiza mdundiko....Carba umepona kwenye mchiriku?? Umekosa utamu kwa kweli..."Ali Mwinyi hodari...Uko wapi mama,ajali ya Buguruni..."[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]