Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa sasa uzi huu unakuhitaji sana pengine kuliko hata Goddess anavyokuhitaji. Busara zako, ukomavu wako, ucheshi wako, uelewa wako na all around good character ni muhimu sana. Usije hata siku moja ukafikiria kuleta abra kadabra kama za KK au Ho Chi Minh. Litakuwa pigo kubwa sana kwa uzi huu.

Katimize majukumu yako ya kizee (wa Masaki), pumzika vizuri na kesho Mungu Akuamshe salama tukutane hapa!
Amen.Uwepo wake hapa una thamani kubwa sana
 
1058ada9d20f22f05c54185402c1929e.jpg
 
Mzee yupi? Wa Tukuyu? Mbona yupo humu napishana pishana naye. Amesema anaendesha kutoka Tukuyu kuja Dar. Nilisikia anamwambia Carba kuwa amemiss maembe ya chumvi na mahindi ya pili pili. Tumuombee aendeshe salama na Mungu Amfikishe salama Dar.
Mkuu nipo natwanga like huku,leo sijaonekana kwa muda mrefu nimejikuta nina deni kubwa la like.
 
Nimesikia unagari naomba lifti[emoji1][emoji1][emoji1]nataka niende keko kesho nikaringishe mtaani imepata lifti...safari njema karibu dar uitwe mwanaume wa dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carba usingizi umegoma au Range Rover ya Andjul imekutoa usingizini imebidi uamke kuomba lift?
 
Back
Top Bottom